Hi! Every body!

Eng. Kayombo

Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
21
Reaction score
9
Habari zenu wadau? Nimekuwa msomaji wa muda mrefu ktk mtandao huu. Lakini nimeamua niwe member ili niweze kushare nanyi ndugu zangu. Nawasilisha
 
karibu sana, nina daraja langu nataka designer, vip nikupe tenda?

Mie ndo receptionist hapa, naomba kujua jinsia ili nikuandalie makabrasha yako.
 
Kabla ya kujua jinsia yake mpatie kinywaji kwanza.
 
karibu sana, nina daraja langu nataka designer, vip nikupe tenda?

Mie ndo receptionist hapa, naomba kujua jinsia ili nikuandalie makabrasha yako.

Naomba kuja resepsheni...
Karibu sana Mhandisi Kayombo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…