Hezbullah anavyo mcharaza Israel

Mwanazuoni umerudia ,napenda kusikiliza madini yako

Hakika najifunza mengi ,na mapya kila siku
 
Hahaha Israel wanalia tu huko kazi yao kubomoa majengo ndiyo ushindi wa vita kwao lakini hawana uwezo wowote, nimeona zile drones wanazopigwa siyo mchezo.
 
Hahaha Israel wanalia tu huko kazi yao kubomoa majengo ndiyo ushindi wa vita kwao lakini hawana uwezo wowote, nimeona zile drones wanazopigwa siyo mchezo.
Israel wanalia wanapo wauwa Magaidi wa Hezbollah na kubomoa miundombinu yao ya kigaidi hukohuko walikojificha!!
 
Israel wanalia wanapo wauwa Magaidi wa Hezbollah na kubomoa miundombinu yao ya kigaidi hukohuko walikojificha!!
Hezbollah launched a large-scale coordinated drone swarm attack on northern Israel Tuesday, in what a security source described as the most significant drone attack on Israel to date, i24NEWS can reveal.

The assault came in two waves. In the first, two drones were launched toward IDF forces in southern Lebanon, wounding two soldiers, one moderately and one lightly. Two additional drones were launched toward a target on the northern border, starting a fire. The Air Force attempted to intercept some of the drones.
 
Kwa akili yako kiduchu unafikiri ukiandika kiingereza basi sisi Wamatumbi tutauamini huo UHARO wako!!

Kwa kipondo wanachopata magaidi wa Hezbollah inability tu tuwahurumie lakini kwa sababu kipondo hicho walijitakia wao wenyewe Acha tu wabondwe maana hakuna namna nyingine ya kuwasaidia!!
 
Mzee wa Uharo

Soma hii kiswahili.

Hezbollah ilisema mapema Jumatatu kwamba ilifanya mashambulizi 24 yakilenga nafasi za jeshi la Israeli, wanajeshi na magari ya kijeshi kusini mwa Lebanon katika saa 24 zilizopita.
Kundi hilo lilisema mashambulizi hayo yalilenga mikusanyiko ya wanajeshi wa Israeli, vifaru vya Merkava, tingatinga za D9, vifaa vya kijeshi na vituo vipya vya amri katika maeneo kadhaa ya mpakani ikiwemo Khiam, Deir Seryan, Tayr Harfa, Bayyada, Rashaf na Naqoura.
Ilisema operesheni hizo zilihusisha ndege zisizo na rubani zenye milipuko, makombora ya roketi, makombora ya mizinga na makombora yanayoongozwa, ikidai "mashambulizi yaliyothibitishwa" katika mashambulizi kadhaa.
Kundi hilo lilisema mashambulizi hayo yalifanywa kujibu ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano ya Israeli na mashambulizi dhidi ya raia na vijiji kusini mwa Lebanon.

Ving'ora vya mashambulizi ya anga vililia Jumapili jioni katika maeneo kadhaa ya Upper Galilee ya Israeli kwa mara ya pili ndani ya saa chache kufuatia ripoti za uvamizi wa ndege zisizo na rubani kutoka Lebanon, kulingana na gazeti la kila siku la Yedioth Ahronoth la Israeli.

Jeshi la Israeli lilisema jeshi la anga lilizuia "lengo la angani linalotiliwa shaka" lililorushwa kutoka Lebanon baada ya ving'ora kuamilishwa katika maeneo ya kaskazini, wakidai tukio hilo lilikuwa "ukiukwaji mwingine" wa makubaliano ya kusitisha mapigano na Hezbollah.
Licha ya kusitisha mapigano kuwepo tangu Aprili 17, ambayo baadaye iliongezwa hadi katikati ya Mei, jeshi la Israeli linaendelea kufanya mashambulizi ya kila siku nchini Lebanon na kubadilishana risasi na Hezbollah.
Mashambulizi ya Israeli dhidi ya Lebanon tangu Machi 2, muda mfupi baada ya vita vya Iran kuanza mwishoni mwa Februari, yamewaua watu 2,846, yamejeruhi 8,693 na kuwafanya zaidi ya milioni 1 wahame makazi.
Pia inadumisha kile kinachoitwa "eneo la ulinzi" katika eneo la Lebanon.
Marekani imepangwa kuandaa mazungumzo ya amani kati ya nchi hizo mbili Mei 14-15 huko Washington, DC.
 
FPV drones zinawamaliza askari wa Israel, hivi sasa Hezbollah wana zile drones za fiber optic baada ya Israel kuanza ku jam drones za kawaida, fiber optic drones imekosa majibu toka kwa Israel na baadhi ya maofisa wamekiri hawawezi kuzizuia hizo drones.

Hii vita pasipo US kuingilia kati, Hezbollah na Iran wangeiharibu vibaya mno Israel na kutoa fundisho la karne.
 
Acha Ujinga IDF inadhibiti Lebanon-Kusini huo UHARO wako huu kawadanganye huko msikitini kwenu!!
 
Wapigweeee tu.
tu.mana wajinga wajinga Wamekimbia Ulaya kwenda kupeleka Usodoma kwenye miji mitakatatifu💀💀💀💀💀💀
 
Acha Ujinga IDF inadhibiti Lebanon-Kusini huo UHARO wako huu kawadanganye huko msikitini kwenu!!
Wewe hujui kitu kinaitwa Military Strategy Plan Hezbullah kuwavuta Israel ndani ya ardhi wasio ijua ni njia nzuri ya kuwashinda hao tatizo hujui Military tactics wewe umeisha zowea kutolewa kimavi huko Tela Aviv utajua wapi.mbinu za kijeshi
 
Wewe hujui kitu kinaitwa Military Strategy Plan Hezbullah kuwavuta Israel ndani ya ardhi wasio ijua ni njia nzuri ya kuwashinda hao tatizo hujui Military tactics wewe umeisha zowea kutolewa kimavi huko Tela Aviv utajua wapi.mbinu za kijeshi
Eneo lenu kutekwa na majeshi ya adui kwako wewe ni Military tactics!!!
 
Acha Ujinga IDF inadhibiti Lebanon-Kusini huo UHARO wako huu kawadanganye huko msikitini kwenu!!
Hahaha Mzee wa Uharo kapanic😂

Unazijua drones za fiber optic?
 
Eneo lenu kutekwa na majeshi ya adui kwako wewe ni Military tactics!!!
Mzee wa Uharo.

Hezbollah imeanza kutumia ndege zisizo na rubani maalum zinazoongozwa na nyuzinyuzi (FPV - First Person View) kushambulia wanajeshi wa Israeli na miundombinu kaskazini mwa Israeli na kusini mwa Lebanon, hasa kuanzia mwishoni mwa Aprili 2026 na kuendelea, na kuzifanya kuwa vigumu zaidi kuzigundua na kuzipunguza.
 
Hahaha Mzee wa Uharo kapanic😂

Unazijua drones za fiber optic?
Eti drone za fiber-Optic!!!

Niambie zimekomboa eneo la Lebanon-Kusini?

Au utuambie hizo drone zimewasaidia nini magaidi hao?

Angalia wanavyobondwa Hezbollah!!!
 

Attachments

  • IMG_20260513_145112_844.jpg
    145 KB · Views: 6
  • VID_20260513_145113_352.mp4
    1.7 MB
  • IMG_20260513_145113_422.jpg
    131.8 KB · Views: 8
  • IMG_20260513_145112_836.jpg
    138.5 KB · Views: 7
  • IMG_20260513_145113_484.jpg
    304.4 KB · Views: 5
  • IMG_20260513_145113_467.jpg
    214.7 KB · Views: 5
  • IMG_20260513_145113_108.jpg
    157.9 KB · Views: 7
  • IMG_20260513_145113_063.jpg
    215.3 KB · Views: 7
  • VID_20260513_145113_274.mp4
    2.5 MB
  • IMG_20260513_145113_340.jpg
    253.9 KB · Views: 10
Wapigweeee tu.
tu.mana wajinga wajinga Wamekimbia Ulaya kwenda kupeleka Usodoma kwenye miji mitakatatifu💀💀💀💀💀💀
Majeshi ya Israel yakilijenga daraja la Ritan wewe mwarabu--koko unaendelea kuteseka na kusema Wapigweeee
 
Eti drone za fiber-Optic!!!

Niambie zimekomboa eneo la Lebanon-Kusini?

Au utuambie hizo drone zimewasaidia nini magaidi hao?

Angalia wanavyobondwa Hezbollah!!!
Kenge hivi hujui Hezbullah wako ndani ya Israel kule Al Jalili ( Galilee) bila sucrose border weme uteka mji kwa drones tu, we endelea kulishwa matango na Israel mimi nakuletea habari za kweli sio wewe unaleta kanga hapa


View: https://youtu.be/CMDDfUiLvpY?si=KvO8-K7cXjaA9gtJ
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2026-05-13 at 3.50.08 PM.mp4
    1.6 MB
Echolima1 kidogo umekuwa na ushabiki wa maandazi !!!

sasa Adiosamigo anakuekea picha Hezbollah wakiwauwa Wanajeshi wa Israel yani IDF

wewe unaleta picha
Jeshi la Anga la Israeli likipiga miji ya Lebanon!!!

Na unadai Hezbollah wanakufa!!!!

kuna tofaut apo
hatuoni wakifa Hezbollah

lkn tunaona miji ikipigwa!!

HEZBOLLAH inauwa live wanajeshi wa Israel ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…