Hezbollah waonyesha silaha zao wanazomchapa nazo Israel

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,602
51,500
Hivi karibuni Hezbollah wameonyesha silaha zao wanazotumia kumchapa nazo Isael daily. Miongoni mwa operations ambazo hezbollah wamefanya katika siku hizi za karibuni ni kulipua assets za kijasusi, yaani mitambo ya kijasusi ya kuchunguza anga la Syria, Iraq hadi uturuki.
Hezbollah wanatumia missiles ambazo zenyewe zinaitafuta target na kuipiga. Waktai missile hiyo ikitafuta target inakuwa inachukua picha inazotuma kwa mtu aliyeituma ili aweze kufuatilia performance.
Wakati huohuo Hezbollah wanasema kuwa wanawachapa waisrael kisawasawa ila Israel inaficha wahanga wake. Hapa chini ni video ikionyesha operesheni ya Hezbollah.


View: https://www.youtube.com/watch?v=ShQKw3jrZts&ab_channel=TheElectronicIntifada
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Kobaz bwana sijui wamerogwa na nani
 
Mmmmmh hawa jamaa!
Na humo ni ndani ya mpaka wa Northern Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…