Hezbollah kusalimisha Silaha zao

Hezbollah kusalimisha Silaha zao

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,546
Reaction score
11,655
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata?

Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la Hezbollah. Ila Tangu Nasrallah afe wamekuwa mdebwedo Hadi kufikia hatua ya kusema wako tayari kusalimu amri na kuachia Silaha zote Kwa Serikali.

View: https://x.com/Osint613/status/1909914085866504447

Kitabu Cha Muhubiri kinasema "Life is meaningless, Imagine you work hard(toiling) all your life and when you die all you worked for, to go someone who doesn't care lose all your wealth"

Hili liwe fundisho na kumbusho kwa Magaidi na mashabiki wa Ugaidi, siku ambayo Netanyahau anakuua kesho yake Magaidi wenzako wanakusahau na wakichoka wanaacha ugaidi
 
Nasrallah na general soleiman waliuawa kinyama sana

Dr. Jonas Savimbi alisumbua miaka na miaka kama sio miongo kule Angola akawa hawezekaniki. Alivyokatwa kichwa kesho yake UNITA ikasambaratika nchi ikawa moja. Similarly Hezbollah; kichwa kimekatwa kiwiliwili hakina mwelekeo. Same to Hamas.
 
Huyo faiza foxy na Mwenzake Ritz inasemekana wako Yemen kuungana na wenzao.
 
Dr. Jonas Savimbi alisumbua miaka na miaka kama sio miongo kule Angola akawa hawezekaniki. Alivyokatwa kichwa kesho yake UNITA ikasambaratika nchi ikawa moja. Similarly Hezbollah; kichwa kimekatwa kiwiliwili hakina mwelekeo. Same to Hamas.
Ila Savimbi hakukamtwa, aliuawa.
 
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata?

Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la Hezbollah. Ila Tangu Nasrallah afe wamekuwa mdebwedo Hadi kufikia hatua ya kusema wako tayari kusalimu amri na kuachia Silaha zote Kwa Serikali.

View: https://x.com/Osint613/status/1909914085866504447

Kitabu Cha Muhubiri kinasema "Life is meaningless, Imagine you work hard(toiling) all your life and when you die all you worked for, to go someone who doesn't care lose all your wealth"

Hili liwe fundisho na kumbusho kwa Magaidi na mashabiki wa Ugaidi, siku ambayo Netanyahau anakuua kesho yake Magaidi wenzako wanakusahau na wakichoka wanaacha ugaidi
Hebu tafuta wanao jua kizungu ulicho kiongea na kilicho andikwa juu ni vitu viwili tofauti kabisa.

Wapi Hezbullah kasema atawapa silaha? Miaka Nasurlah alisema yupo tayari silaha zake kuwapa jeshi la Lebanon kama kweli wako serious hawaogopi jeshi la Israel.

We baki unaota kama Hezbullah atawapa jeshi la Lebanon silaha kama hilo
Jeshi linaogopa hata kurudisha risasi.

Puguzeni uwongo leta wapi Hezbullah kasema atasalimu silaha zake? Mmekalia uwongo kama bibilia zenu.
 
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata?

Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la Hezbollah. Ila Tangu Nasrallah afe wamekuwa mdebwedo Hadi kufikia hatua ya kusema wako tayari kusalimu amri na kuachia Silaha zote Kwa Serikali.

View: https://x.com/Osint613/status/1909914085866504447

Kitabu Cha Muhubiri kinasema "Life is meaningless, Imagine you work hard(toiling) all your life and when you die all you worked for, to go someone who doesn't care lose all your wealth"

Hili liwe fundisho na kumbusho kwa Magaidi na mashabiki wa Ugaidi, siku ambayo Netanyahau anakuua kesho yake Magaidi wenzako wanakusahau na wakichoka wanaacha ugaidi

Sema hawana ushikamano hivi kweli Hawa wa jamii forum na mataifa mengine mnashindwa nini kuwachangia FOOD, SHELTER AND CLOTHES Kwa kuwa mnaamini kupitia kwao kuwa wakishinda mtakuwa na nguvu ya kueneza mambo yenu lakini ndio chenga tupu Kuna jamaa nimemchapa Kofi kisa ananiuliza me DINI gani na kuanza kuniambia niseme maneno ya kiharabu zogo lilitaka kuibuka check video hii
 
Hebu tafuta wanao jua kizungu ulicho kiongea na kilicho andikwa juu ni vitu viwili tofauti kabisa.

Wapi Hezbullah kasema atawapa silaha? Miaka Nasurlah alisema yupo tayari silaha zake kuwapa jeshi la Lebanon kama kweli wako serious hawaogopi jeshi la Israel.

We baki unaota kama Hezbullah atawapa jeshi la Lebanon silaha kama hilo
Jeshi linaogopa hata kurudisha risasi.

Pumguzeni uwongo leta wapi Hezbullah kasema atasalimu silaha zake? Mmekalia uwongo kama bibilia zenu.
Tafsri ya hiyo habari ni hivi "Spika wa bunge na Rais kujadili, kuweka Silaha za Hezbollah chini ya usimamizi wa Serikali".

Hii ni habari ya wiki kuwa Kuna kuna uwezakano, Hezbollah ikaziachia Silaha zake kwa Jeshi la Serikali.

Siku nyingine fanya utafiti zaidi, ukitoa ugomvi wa Israeli na Hezbollah, Hezbollah ni Kundi la Washia liloanzishwa kulinda Maslahi ya Washia nchini Lebanon hivyo linamlengo wa Kisiasa pia .

Lebanon , Wakristo, Washia na Wassuni hawaminiani hivyo walikubaliana mambo wawili.
1. Watagawana madaraka (Rais mkristo, Waziri mkuu Msunni, Spika Mshika (Hezbollah))
2. Jeshi halitakuwa na nguvu hili lisije kutumiwa na Serikali kuonea makundi mengine.

Wakristo na Wassuni walikuwa na majeshi pia, now Wanauliza Swali Hezbollah silaha za nini, wakati Amani na Israel inawezekana
 
Kujadili miaka wanajadili tatizo lako we.muongo wapi Hezbullah wamesema wako tayari kukabidhi silaha zao? Kujadili na kukabidhi ni vitu viwill tofauti.
 
Hebu tafuta wanao jua kizungu ulicho kiongea na kilicho andikwa juu ni vitu viwili tofauti kabisa.

Wapi Hezbullah kasema atawapa silaha? Miaka Nasurlah alisema yupo tayari silaha zake kuwapa jeshi la Lebanon kama kweli wako serious hawaogopi jeshi la Israel.

We baki unaota kama Hezbullah atawapa jeshi la Lebanon silaha kama hilo
Jeshi linaogopa hata kurudisha risasi.

Pumguzeni uwongo leta wapi Hezbullah kasema atasalimu silaha zake? Mmekalia uwongo kama bibilia zenu.
Umeandika vizuri, umeharibu padogo. " Mmekalia uwongo kama Biblia zenu." Linganisha na ukweli wa Suleiman Rushdi, aliyesema Quran ni Aya za Shetani.
 
dogo we wachana na Suleiman Rushid, huyo alikuwa hajui lolote zaidi ya tarabu za kuwafurahisha wafadhili zake wakristo. Kitabu cha Hindus Holy Book kabla ya Ukristo na Uislam sikia kinasema nini. Kabla ya miaka 1000 kuja kwa Mtume Muhammad. Kilitabiri atakuja Mtume anaitwa Muhammad na baba yake ni nani na atazaliwa wapi. Afu mnatuletea ujinga eti ukristo ulikuja kabla ya Uislam, na kitabu cha Mussa kilimtabiri atakuja Mtume kama Mussa na ataleta sheria mpya ambaye ni Mtume Muhammad nyie mkajidai Yesu, lini Yesu alileta sheria hebu tupeni sheria ipi alio leta zaidi ya kusema sikuja vunja sheria ya Mussa bali kuiendeleza😄 🤣 Lini Yesu alikuwa kama Mussa. Yesu hakuwa na baba na mama, Yesu alikuwa na mama tu, hakuwa na mke au watoto hakuleta sheria vipi awe Yesu vichaa kweli nyie wafuasi wa Paulo.

View: https://youtu.be/06Fracwj9WU?si=QLrAd5FEDZ5DFbWJ

Ukristo ni dini ya Paulo.
 
Punguzeni mihemko ya mambo ya dini za wakoloni. waachieni dini zao wenye dini zao. Sisi tupambane na hali zetu za kiuchumi na kuenzi miungu ya babu zetu
 
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata?

Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la Hezbollah. Ila Tangu Nasrallah afe wamekuwa mdebwedo Hadi kufikia hatua ya kusema wako tayari kusalimu amri na kuachia Silaha zote Kwa Serikali.

View: https://x.com/Osint613/status/1909914085866504447

Kitabu Cha Muhubiri kinasema "Life is meaningless, Imagine you work hard(toiling) all your life and when you die all you worked for, to go someone who doesn't care lose all your wealth"

Hili liwe fundisho na kumbusho kwa Magaidi na mashabiki wa Ugaidi, siku ambayo Netanyahau anakuua kesho yake Magaidi wenzako wanakusahau na wakichoka wanaacha ugaidi

Proxy zote za Iran huko Iraq na Lebanon zinasema zinasalimisha silaha wakati huohuo zinapewa mzigo mwingine kwa njia mpya za pants, hizbullah wamefungua njia za panya baharini kupokea mzigo mpya
 
Sawa lakini hakuna miungu kuna Mungu mmoja tuNani amekuambia. Usikariri uliyosoma kwenya vitabu vya dini za wakiolo

Sawa lakini hakuna miungu kuna Mungu mmoja tu.
Usikariri uliyoambiwa kwenye diniza wakoloni. Nenda China, Japan na India ndo utajua Mungu siyo moja. hata Mungu wa Qur'an siyo Mungu wa Biblia. Miungu ipo Mingi sana. But Mungu wa babu zetu Waafrika ndo Mungu halisi tunayetakiwa kumuenzi. Siyo Mungu wa Bara Arabia au Ulaya.

Mungu wa watu wengine kamwe hatatufikisha popote.
 
Back
Top Bottom