Hey! Wizi Huu kupitia Tigo-pesa mnaujua?

Mm nilikosea kutuma pesa(180,000),nikawapigia simu siku ya tar 7 ijumaa ya mwezi huu,wameshazuia pesa nilikotuma na imerudi tigo,cha ajabu imepita wiki sasa hawajaniingizia pesa yangu,wameniboa sana wezi hawa wakubwa
 
Siwaamini tigo hata kiduchu sasa upland wa MB salio na tigopesa. naona bola nikapangefoleni NMB bank nisimamefolen niweke elfu 20 kuliko tigopesa
 
Mnamo tarehe 3 Machi- 5/machi 2017 akaunti yangu ya tigo pesa ilisomeka nimemnunulia mwenye simu namba 0652013412 vocha. za jumla sh.8000/- nashituka tayari aliisha ramba. Sikuiwekea akaunti hii pesa tena hadi tarehe 13/4/17 leo nacheki namba nyingine 0656181975 inajitambulisha kama Nani Tigo Pesa Buku (true caller) aliisha ramba sh. 1000/- saa 1842. Na saa 1411alikiwa ameramba sh. 650/-. Napiga Tigo huduma kwa wateja hakuna mhudumu wa kusema naye ila mitambo tu. Utagundua wizi huu iwapo tu utaomba statement fupi. kwani haina marejeo. mf. tigo pesa imethibitisha...hii ni hatari mno.
Tito ni wapumbavu sana siku hizi hata mtandao wao umekua mbovu hakuna network kila kona niloshatemana nao
 
Back
Top Bottom