ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,492
- 8,295
Kiongozi we ni mnomaaaa...Sielewiiiiiiiiiiiiiiii
Kawaida tu mzeeKiongozi we ni mnomaaaa...
Angetuambia basi,maana nammiss kinoma na swagger zake.Kuna mwanajamiiforums alijitolea kumpeleka mirembe!
haka kamchizi fulltime kao jf,iwe mchana iwe usiku,duhKiongozi we ni mnomaaaa...
Shukrani mkuu,jamaa ni burudani tosha.Mkuu kisandu kaamisha kambi Facebook Jaribu kumtupia jicho Huko
Balaa analoliendeleza huko hatari kichaa chake kinazidi kumpanda
Maisha bila madude hayana ladha buana. Natamani liamke.Naona unataka kuliamsha dude
Deo yuko safi tu wala hajapelekwa milembe,ameamua tu kukaa kimya kwa mshangao kwasababu aliambiwa fungua chama utapewa ukuu wa mkoa,lakini kwa bahati mbaya(na yeye kachelewa) cheo kimeenda ACTwazalendo.Kuna mwanajamiiforums alijitolea kumpeleka mirembe!
Jesus! Labda kwa kuwa ni msukuma.asijali lakini mikoa itatokea tu.Deo yuko safi tu wala hajapelekwa milembe,ameamua tu kukaa kimya kwa mshangao kwasababu aliambiwa fungua chama utapewa ukuu wa mkoa,lakini kwa bahati mbaya(na yeye kachelewa) cheo kimeenda ACTwazalendo.
Ukiona yupo kimya jua tayari yupo mahabusu maana anachafua sana kule facebookNaamini hamjambo wote na jumamosi hii ni njema kwenu,kama una tatizo pole sana.
Ni kipindi kirefu sijamsoma Deo Nalimi Kisandu, nini kimempata yeye na kile chama chake kipya cha ACA?au mirembe wamemdaka?