Hey jamani natamani kujua.

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,294
Naamini hamjambo wote na jumamosi hii ni njema kwenu,kama una tatizo pole sana.
Ni kipindi kirefu sijamsoma Deo Nalimi Kisandu, nini kimempata yeye na kile chama chake kipya cha ACA?au mirembe wamemdaka?
 
Kuna mwanajamiiforums alijitolea kumpeleka mirembe!
Deo yuko safi tu wala hajapelekwa milembe,ameamua tu kukaa kimya kwa mshangao kwasababu aliambiwa fungua chama utapewa ukuu wa mkoa,lakini kwa bahati mbaya(na yeye kachelewa) cheo kimeenda ACTwazalendo.
 
Jesus! Labda kwa kuwa ni msukuma.asijali lakini mikoa itatokea tu.
 
Naamini hamjambo wote na jumamosi hii ni njema kwenu,kama una tatizo pole sana.
Ni kipindi kirefu sijamsoma Deo Nalimi Kisandu, nini kimempata yeye na kile chama chake kipya cha ACA?au mirembe wamemdaka?
Ukiona yupo kimya jua tayari yupo mahabusu maana anachafua sana kule facebook
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom