Hey guys, hivi hii ni kweli au utapeli?

Alafu uwaga inasimamia kwenye iPhone 11 tu ukilizungusha

Amka mkuu hamna simu inatolewa kizembe ivo

#Staysafe
 
Saa nyingine uwa nawaza kwanini hawaishi, ila nimeundua nimegudua wanaohitaji kutapeliwa ni wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom