Hewa yaendelea kuwa nzito kwa Yanga sokoine

Hewa yaendelea kuwa nzito kwa Yanga sokoine

Saitot

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
613
Reaction score
152
Kama kawaida yanga ikiwa mbeya ,kwa mashabiki walioamua kushangilia timu zao za mbeya yadroo na prison ilicheza soka mbovu!!!! Bravoooo Mbeya bravoo,,
 
Yanga wabadirishe rangi ya ile mijezi dah! Sijui leo watasingizia nini tena. Yanga ya kwenye magazeti tofauti kabisa na ya uwanjani. Mkome
 
refa afukuzwe halafu walizika bundi hatukubali.mechi irudiwe
 
Back
Top Bottom