heslb

farmersdesk

Senior Member
May 26, 2012
164
120
Mimi sina kitambulisho cha mpigakura wala pass ya kusafiria na heslb wana hitaji copy ya kimoja wapo nifanyeje??nahitaji ushsuri jamani
 
Lengo ni kuthibitisha kama we mtanzania kwahyo nenda kwa wakili au mahakamab wakupe kiapo cha kuthibitisha kua we mtanzania
 
Nenda ofc ya kijiji ukapewe kitambulsho cha mkazi.ni kama sh elfu 2 ivi.
 
I،ve seen ur 4ms,kitambulisho kinachohitajika si chako ni cha mdhamin wako,ww unakua ushadhibitisha uraia wako kwa kuweka birth certificate inabak kw mdhamin wako. Angalia vizuri kijana kwenye paper works then unambie
 
Kweli hili tatizo , wengne wanasema card ya mlezi na wengne card ya muhusika(mwanafunzi)
 
Back
Top Bottom