Yaani mi nipo mkoani ila tar 27 nitakuwepo.
Ninacho kitabili ni migomo isiyo isha vyuo vikifunguliwa. HESLB wameshindwa kutumia historia. Mwaka 2002 wanafunzi kama 602 walidahiliwa bila ruzuku, vijana waliokuwa dar kwa kushirikiana na DARUSO waliweza kuunganisha nguvu mpaka kikaeleweka. Wanafunzi wasubiri wafungue. Wazazi 'watakaoweza' kulipa nusu ada ya udahii wafanye hivyo, watoto wakifika chuo migomo iwe non-stop.
Nawaomba viongozi wetu wa kisiasa waingilie kati kupanua "public pressure"