HESLB

HESLB

Jamani mm kwenye majina ya kwanza waliopata mkopo nipo ila jina language kwenye loan allocation halipo hii imekaaje chuo sua
Ilitutokea 2016 udsm majina ya mara ya kwanza mimi na wenzangu tulipewa 100 percnt baada ya wiki moja tukasikia majina mapya yametoka kwenda kuangalia wengine wamepata asilimia 0 wengine majina hayapo kabisa daa inauma sana.
Ila jaribu kufatilia pia ikiwezekana wahi chuoni uendee kwa afisa mikopo atakusaidia haraka utapatiwa mkopo wako.
 
nadhani hili walilolifanya sua ni jambo jema. vyuo vingine vyote wafanye hilo...
 
Wa bodi wanautan kweli yan mtu analipiwa ada tu na ada yenyewe kapewa elf 70
Haiwezekan wote kupata kwa percent sawa mfuko upo limited hamuwez pata wote shukuru umepata boom Ada unaweza ongezea.(budget constraint )
 
MA ni meals & accommodation
TU ni tuition fees(ada)
B.S. ni books & stationaries
Da nisoma allocation za sua yaan hizi abbreviation Mara Tu,FBR,sijui zimaanisha nini
SFR ni special faculty requirement
FPT ni field practical training ( pesa ya kwenda kujikimu ukienda field )
RESEARCH ni pesa ya kugharamia research kama utafanya..

Hizo pesa zote zitaingizwa kwenye acc yako ya bank except tuition fees ndo italipwa moja kwa moja kwny acc ya chuo husika.
 
Back
Top Bottom