udom sijui ni liniSua tayariView attachment 914017
Keshoooooudom sijui ni lini
kwhy hutaki auHivi m2 inakuwaj tuition fee 0 alaf meals anapata
hahhhh shukuru hicho kdg wengine hata allocation badoHivi m2 inakuwaj tuition fee 0 alaf meals anapata
Nmeulza tuuh i need explantionkwhy hutaki au
Hata mm bado mkuu nlkua nachungulia tuh kwa wenze2 suahahhhh shukuru hicho kdg wengine hata allocation bado
Asa kama ashukuru hichohicho cha tuition fee 0 wewe kwanini unalilia kujua allocation wakati una uhakika wa kupata 0 and above?hahhhh shukuru hicho kdg wengine hata allocation bado
meals huwa ni sawa kwa wote walioona majina yao regardless of asilimia.Nmeulza tuuh i need explantion
Hivi m2 inakuwaj tuition fee 0 alaf meals anapata
ngoja nasi tusubiri aiseeNi kawaida kutokupewa tuition fees lkn meals and accommodation unapata.....jichange change kwny boom lako ongezea na pesa ya wazee lipa Ada maisha yanasonga
Mkuu usiwaze, mkopo utakua umepelekwa chuo kingne, angalia vzr admission yakoJamani mm kwenye majina ya kwanza waliopata mkopo nipo ila jina language kwenye loan allocation halipo hii imekaaje chuo sua