Samahan mkuu hivi boom linatolewa awamu ngapi kwa mwaka,?Hivi boom ni sh ngapi per day siku hizi? Enzi zile nasoma tulikuwa tunalamba Tsh 2,500 per day. Maisha yalikuwa magumu kweli. Sasa hapo utakula nini uache nini, na hata kama una mchumba utamuhudumiaje kwa kutumia boom 😀😀😀. Heri yenu watoto wa siku hizi mnapokea pesa ndefu, na hii inadhihirisha uchumi umekua hadi mifukoni mwa wanafunzi wa elimu ya juu...
Subil sec batch
Boom kwa siku ni 8500 na linatolewa mara nne kwa mwaka yaan laki 5 na point baada ya miez miwil.kumbuka mwaka wa masomo una miez 8 iliyogawanyika ktk semester mbili.so kila semester unapewa boom mara mbili.Samahan mkuu hivi boom linatolewa awamu ngapi kwa mwaka,?
Poa ngoja niwe mpoleSubil sec batch
Hehehe basi ni vema.[emoji26] [emoji26] [emoji26] sinaga utaratibu wa kupiga kura chini ya tume hii ya uchaguzi naonaga ni kama kupoteza muda tu.
Mkuu una angaliaje kuwa ume chaguliwa?View attachment 611862 Thanks God!
kwa ambae aliomba mkopo kitu tayari huko HESLB
Mara mbili.. Mara ya kwanza ni meals n accomodation pamoja na 'Book (Beer) allowance' ingawa hakuna wanafunzi wananunuaga vitabu... Miaka ile SUA ilitaka kuwanyang'anya wanafunzi pesa ya vitabu eti iwe inawanunulia vitabu...Weee! Kunji (mgomo) lake lilikuwa si la kitoto... Yani umnyang'anye mwanafunzi hela atakuelewa!Samahan mkuu hivi boom linatolewa awamu ngapi kwa mwaka,?
Dah nicheki kwa namba 0755422199,tuungane hapo mzumbe university
Hahah nimekuelewa vizuri mkuu!Mara mbili.. Mara ya kwanza ni meals n accomodation pamoja na 'Book (Beer) allowance' ingawa hakuna wanafunzi wananunuaga vitabu... Miaka ile SUA ilitaka kuwanyang'anya wanafunzi pesa ya vitabu eti iwe inawanunulia vitabu...Weee! Kunji (mgomo) lake lilikuwa si la kitoto... Yani umnyang'anye mwanafunzi hela atakuelewa!
Mdau huu mzigo ni kwa mwaka mmoja ama vipi!
Na ukipewa unapewa kwa installment ngapi?
Dah mkuu sijui chochote ndo natafuta ufafanuz especially hapo kwenye Research
100%.... asilimia wanaConsider kiasi cha ada wanachokulipia... angalia wamekupa tuition fee kiasi gan then angalia chuo chako ada ni kiasi gan then calculate %Hiyo ndo asilimia ngapi mkuu?
Yah wapoHivi Kuna aliyekuwa multiple selected kapata mkopo na aliconfirm