encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 517
- 405
- Thread starter
-
- #41
ukifungua tu, bonyeza neno la kwanza mkono wako wa kushoto pameandikwa LOAN ALLOCATION 2017/18kuna mtu nimemuangalizia, hapa naona kwenye application status yake inamwambia a print complete form, then hamna status ya kuonesha kuwa she is secured or not.
thanks mkuu, nimeona.ukifungua tu, bonyeza neno la kwanza mkono wako wa kushoto pameandikwa LOAN ALLOCATION 2017/18
LIPO CHINI YA NENO NAVIGATION
UNATUMIA KIFAA GANI KUANGALIZIA?
Nzuri iyoukifungua tu, bonyeza neno la kwanza mkono wako wa kushoto pameandikwa LOAN ALLOCATION 2017/18
2020 wapigie kura tenaHivi kuna mtu wa diploma aliyepewa mkopo bach hii ya kwanza..au ni mwendo wa kuangukia pua..daah hii serikali hii..
Poa poa!thanks mkuu, nimeona.
Mdau huu mzigo ni kwa mwaka mmoja ama vipi!View attachment 611862 Thanks God!
kwa ambae aliomba mkopo kitu tayari huko HESLB
Dah mkuu sijui chochote ndo natafuta ufafanuz especially hapo kwenye ResearchMdau huu mzigo ni kwa mwaka mmoja ama vipi!
Na ukipewa unapewa kwa installment ngapi?
Dah nicheki kwa namba 0755422199,tuungane hapo mzumbe universityMzumbe aiseee
hivi chuo gan ndo wamechakata wakaptkan hao 10 elf ts a liar hamna chuo kinapokeo 1st year 10 elfuUpo chuo gani boss
Hiyo ndo asilimia ngapi mkuu?
Hongera VP cheti cha kuzaliwa ulihakiki Rita?Me nmeliwa meals na accomodation tuh!!!!! nyengne najitegemea kama field practical amd training au????
Duh unatak hela ya research mwaka wa mwanz? Hyo mnapewa mwaka wa mwisho tuDah mkuu sijui chochote ndo natafuta ufafanuz especially hapo kwenye Research
[emoji26] [emoji26] [emoji26] sinaga utaratibu wa kupiga kura chini ya tume hii ya uchaguzi naonaga ni kama kupoteza muda tu.2020 wapigie kura tena
Asilimia unaangalia Ada yako ni kias gan.chukua hela uliyopewa weka juu ya ada zidisha kwa miaHiyo ndo asilimia ngapi mkuu?
Hivi boom ni sh ngapi per day siku hizi? Enzi zile nasoma tulikuwa tunalamba Tsh 2,500 per day. Maisha yalikuwa magumu kweli. Sasa hapo utakula nini uache nini, na hata kama una mchumba utamuhudumiaje kwa kutumia boom πππ. Heri yenu watoto wa siku hizi mnapokea pesa ndefu, na hii inadhihirisha uchumi umekua hadi mifukoni mwa wanafunzi wa elimu ya juu...View attachment 611862 Thanks God!
kwa ambae aliomba mkopo kitu tayari huko HESLB