HESLB wametoa majibu ya rufaa

Mm ni continuous allocation yangu ipo vile vile na niliappeal vp ndo nimekos au
 
Aise mpaka sasa naona ni bila bila kwa continuous kama kuna wengine walishawekewa basi ndo imetoka hiyo
 
Watu wa bodi wenyewe ukiwauliza wanasema hili suala la rufaa na continues hakuna aliyepata mpaka sasa coz hata kikao cha kuidhinisha bado hakijafanyika.ila humu jf kuna mdau kasema yeye kapata rufaa yake.
 
Sas mpk ln jmn
 
Wakuuu leo tarehe nne kuna aliepata mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…