Billy philip
Member
- Oct 24, 2019
- 15
- 8
Jamani hivi hawa Loan Board mbona wanazingua? Walisema kuwa batch two watatoa kabla ya tarehe 25.
Mbona kimya?
Mbona kimya?
Wanatoa leo kuwa mpoleJamani hivi hawa loan bord mbona wanazingua walisema batch two watatoa before 25.mbona kimya
Subirishia mpk saa saba na kuendelea ndo mida wanayo toaga majinaWalisema ni leo ila mpk sahz holaaah
Zipo badoHivi batch hii ndio ya mwisho au kutakuwa na nyingine
Last year walileta batch raia wakiwa chuoni mpk batch ya 9Hivi batch hii ndio ya mwisho au kutakuwa na nyingine
Yaani hawa loan boad hawako sereous na ratiba zao sio kama tcu, wanakutajia tarehe ukifika muda waliosema unakuta hakuna walichofanya. walisema before tar 25 watatoa lakini mpaka saivi hakuna kitu.Jamani hivi hawa loan bord mbona wanazingua walisema batch two watatoa before 25.mbona kimya
Batch ya pili tayari imetoka wewe fungua akaunti yako uliyotumia kuombea mkopo bodi utapata majibu.Jamani hivi hawa loan bord mbona wanazingua walisema batch two watatoa before 25.mbona kimya
Acha uongoBatch ya pili tayari imetoka wewe fungua akaunti yako uliyotumia kuombea mkopo bodi utapata majibu.
Kiongozi kama huamini nenda kwenye akaunti yako ya bodi ya mikopo utapata majibu.Acha uongo
Aisee, em post screenshot yako. Kuna bwana mdogo kaandikiwa hivi kachanganyikiwa hapa.Kiongozi kama huamini nenda kwenye akaunti yako ya bodi ya mikopo utapata majibu.
Aisee, em post screenshot yako. Kuna bwana mdogo kaandikiwa hivi kachanganyikiwa hapa.
View attachment 1244553
olas.heslb.go.tzTumeni link wakuu
Duu. Fresh mzee, wacha nijiandae nusu ya ada hapa aende tuKakosa uyu mkuu..asubiri batch inayo fata
Duu. Fresh mzee, wacha nijiandae nusu ya ada hapa aende tu