JAMANI HALI SIO HALI KWA MATOKEO YA HESLB HADI SASA WATU 5 WAMEPOTEZA MAISHA KWA 7B YA KUKOSA kuna mmoja ni mwanafunz wa Mirambo,Lugoba sec(2),Ngaza girls na Kibiti yote ni matokeo ya heslb na walchaguwa kusoma Education kulngana na hal zao lakn hatima yake hawajapata k2 kutoka heslb kuna girls wawil wamefark kwa mxhtuko wote 2lkuwa internet cafe baada ya majb waljkuta wakdondoka chn na kupoteza maixha yao hawa 3 n boys nae mmoja kafa 7b pressure baada ya Tokeo na 2 wamejiua na vyuo walvyokuwa waende ni SAUT-MBEYA CENTRE(1),MKWAWA(2),UDOM(1),ECKERNOFORD(1) LENGO KUONYESHA HALI ILIVYO MBAYA KUFKIA MTU KUJIUA 7B HANA NJIA NYINGINE NA ALITEGEMEA ATAPATA KULINGANA NA MAELEKEZO YA TCU(PRIORITY) NAOMBENI TUUNGANE KUWAPA USHAURI HAO WALIOKOSA BILA HIVYO TUTAPOTEZA WENGI ZAIDI UKIACHILIA KIFO,KUNA UCHIZI,MAKUNDI MABAYA,NA HATA KUCHUKIA NCHI YAO HATA KUFKIA HATUA WANATUMIWA NA WATU WABAYA LEO KUNA AL-SHABAAB ,M23 NI RAHISI KUMCHUKUWA WAPENI USHAURI KAMA KUNA KU-APPEAL WAPE UTARATIBU WA KUFUATA MHURUMIE MWENZAKO,,end

sikuwa na uwezo wa kuchukuwa picha kulngana na uwezo wa simu yang pia even me nlchanganykiwa 7b nmekosa iwapo ni Education xo mambo yako hivyo inakera sana 7b kuna wengine n yatima kabisa hana hata mtu wa kumpa 50000 leo imekuwa hivyo bnafx hata me nmeumia xana but nw nafklia hao waliondoka Dunia 7b heslb
JAMANI HALI SIO HALI KWA MATOKEO YA HESLB HADI SASA WATU 5 WAMEPOTEZA MAISHA KWA 7B YA KUKOSA kuna mmoja ni mwanafunz wa Mirambo,Lugoba sec(2),Ngaza girls na Kibiti yote ni matokeo ya heslb na walchaguwa kusoma Education kulngana na hal zao lakn hatima yake hawajapata k2 kutoka heslb kuna girls wawil wamefark kwa mxhtuko wote 2lkuwa internet cafe baada ya majb waljkuta wakdondoka chn na kupoteza maixha yao hawa 3 n boys nae mmoja kafa 7b pressure baada ya Tokeo na 2 wamejiua na vyuo walvyokuwa waende ni SAUT-MBEYA CENTRE(1),MKWAWA(2),UDOM(1),ECKERNOFORD(1) LENGO KUONYESHA HALI ILIVYO MBAYA KUFKIA MTU KUJIUA 7B HANA NJIA NYINGINE NA ALITEGEMEA ATAPATA KULINGANA NA MAELEKEZO YA TCU(PRIORITY) NAOMBENI TUUNGANE KUWAPA USHAURI HAO WALIOKOSA BILA HIVYO TUTAPOTEZA WENGI ZAIDI UKIACHILIA KIFO,KUNA UCHIZI,MAKUNDI MABAYA,NA HATA KUCHUKIA NCHI YAO HATA KUFKIA HATUA WANATUMIWA NA WATU WABAYA LEO KUNA AL-SHABAAB ,M23 NI RAHISI KUMCHUKUWA WAPENI USHAURI KAMA KUNA KU-APPEAL WAPE UTARATIBU WA KUFUATA MHURUMIE MWENZAKO,,end
duuh hali ishakua mbaya,usije ukashangaa kusikia ofisa wa HESLB amemwagiwa tindikali