Heslb ukombozi tenaa

witacha matiku

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
678
126
taarifa kwa wale ambao hamkufanya application mnapewa nafasi ya kufanya maombi kabla ya tarehe 06 november tatizo kubwa hapa hawajaweka taarifa hii ila ingia OLAS click watakuletea how to apply ,best wishes zaidi ni pm nitakupa msaada
 
Toa ufafanuzi vizuri, waombaji ni wale waliokosa mkopo tu au hata waombaji wapya wanahusika?
 
taarifa kwa wale ambao hamkufanya application mnapewa nafasi ya kufanya maombi kabla ya tarehe 06 november tatizo kubwa hapa hawajaweka taarifa hii ila ingia OLAS click watakuletea how to apply ,best wishes zaidi ni pm nitakupa msaada

hii inakuwaje ni ya continous students ambao hawakuomba mkopo? au ni wale wa first year tu????
 
taarifa kwa wale ambao hamkufanya application mnapewa nafasi ya kufanya maombi kabla ya tarehe 06 november tatizo kubwa hapa hawajaweka taarifa hii ila ingia OLAS click watakuletea how to apply ,best wishes zaidi ni pm nitakupa msaada

Umenipa presha kaka, ok tell us how we gon do it!
 
ni kwa wale ambao hawakufanya application only ndio wanaotakiwa kufanya hiyo application na unalipia 30,000 kama ilivyokuwa awali
 
binafsi nmeingia my google account kuna sehem ya loan alocation ni-ka-click hapo ndio nikakuta hyo habari wametoa na utaratibu wa kulpia,how to apply al in al habari ndio hyo tumia fursa kama haukufanya application hapo awal
 
mhhhhhh!!!!!!!! loan board nao wamekuwa kama bongo movie yaani show ni full version
 
Naona jamaa wanalenga kuzikusanya elfu 30 kutoka kwa watu wengine! Wanataka kusema pesa ya kuwakopesha watu bado ipo ila waliokosa wote hawakuwa na vigezo?
 
Back
Top Bottom