HESLB, Tunaomba Msaada Wenu

urboymox

New Member
Joined
Sep 13, 2026
Posts
2
Reaction score
0
Kwanza tunawashukuru JamiiForums kwa kutupazia sauti, na baada ya hilo HESLB ikaongeza siku 4 za maombi. πŸ™πŸ½
Lakini hadi leo 16 Septemba, OLAMS bado haijakaa sawa. Button ya kuingia kwenye application haipo, hivyo uki-login huwezi kuendelea na maombi.

Hatuombi nyongeza nyingine ya muda. Tunaomba tu mfumo urejeshwe ili hizi siku 4 tulizopewa zitumike. Sisi tuliokwama kutokana na mfumo bado tuna hofu kubwa kuhusu hatma ya mikopo yetu. πŸ˜”πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…