mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,123
😉haa haa serikali ya wanyonge. duh.....
Zile rufaaaa ni bosheniii tuInashangaza kuona kuwa heslb walitoa nafasi ya wiki moja tu ya kukata rufaa, lakini wao zinakaribia kumalizikia wiki mbili sasa bado wako kimya kuhusu matokeo ya rufaa za watu. Kama hakuna aliyefanikiwa basi waseme maana muda umekwenda sana.
Waliokosea kukata rufaa ya Mkopo taarifa zao zimerudi vyuoni warekebishe Leo hii nazan bado ktambo kdg mambo yatakuwa vzr tuwe na subra
Waliokosea kukata rufaa ya Mkopo taarifa zao zimerudi vyuoni warekebishe Leo hii nazan bado ktambo kdg mambo yatakuwa vzr tuwe na subra