HESLB MNATUPA WAKATI MGUMU

HESLB MNATUPA WAKATI MGUMU

Berther patty

Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
34
Reaction score
4
jamani bodi ya mkopo mtawapa presha wazazi mitaani huku..yoyote alie na mwongozo kuhusu loan allocation status tunatakiwa kuripoti j3 jamani
 
kwenye akaunti za waombaji hawakutoa breakdown ya mkopo. nadhani ule mgawanyo unaotumiwa chuoni alipaswa pia kutumiwa mwanachuo husika..
 
Da mi nataka second batch ya majina itatoka lini leo tar 27 unaishi katavi unatakiwa chuo dar mkopo majina bado unaendaje mi najiuliza izi bodi ziko serious kweli
 
Da mi nataka second batch ya majina itatoka lini leo tar 27 unaishi katavi unatakiwa chuo dar mkopo majina bado unaendaje mi najiuliza izi bodi ziko serious kweli
Kwahyo wasipotoa majina ww chuo huendi kabisa??
 
Back
Top Bottom