Heslb majanga

Heslb majanga

Mchepuko1

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
215
Reaction score
103
Wakuu anayejua taarifa yoyote kuhusu kuachiwa kwa majina ya wanufaika wa mikopo tujuzane,wakati walidai tarehe kumi na tano mpaka saivi kimya
 
mkiendelea nahiki kihelehele mtakosa kabisa hilo bumu
Yaaani bora huyuu anawaza mkopo kuna huyu anawwza majibu yanatoka lini awamu ya pili kutwa kwenye laptop TCU ni kutulia na kumuomba mungu mtafanikiwa serikali yetu hippo taratibu
 
Yaaani bora huyuu anawaza mkopo kuna huyu anawwza majibu yanatoka lini awamu ya pili kutwa kwenye laptop TCU ni kutulia na kumuomba mungu mtafanikiwa serikali yetu hippo taratibu
Sawa J26
 
Duuh unaharaka wew! , kula good time kwanza uko uendako hauijui njia.
 
kuweni na subira vijana, lakin msisahau kufunga na kuomba Mungu awaisaidie, loan board ni pasua kichwa sana
 
Back
Top Bottom