Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,762
- 4,975
Kwanza Kabisa namshukuru Mola kwa uzima pia nawasalimu nyote.
Nimejaribu kufuatilia loan repayment yangu heslb nilichokiona naomba niwajulishe na wenzangu ili kama ulikuwa hufahamu uanze kufahamu na kuchukua hatua usije ukashangaa huku unaumia.
Heslb kuna makato ya ziada waliyoyaweka ambayo haya hasa ndiyo pigo kuu kwa watoto wa wakulima walioomba mkopo.
Kuna additional charges ambamo ndani yake kuna Administrational fee,penalty(10% na kuna Value retention fee.
Hayo mambo ndiyo ambayo yatawaduwaza. Nilifikia hatua ya kutaka kupata loan repayment statement yangu baada ya kuona salary yaku kuwa kama ina kirusi.
Nimeshangazwa sana na badiliko la makato kutoka 42560 mpaka 75200.
Nilichokiona ni riba kubwa inayofikia Milioni mbili na point kadhaa
Nakumbuka kipindi nahitimu pale udsm mwaka 2010 tuliambiwa kuwa wataanza kutukata marejesho ya mkopo baada ya miaka miwili na Mimi niliajiriwa mwaka 2011 mwezi wa kwanza na mwaka 2012 Disemba walianz kunikata marejesho yao kwa utaratibu wa 42560 @ mwezi.
Ila ghafla mwaka huu naona makato yamefikia 75200. Nilichokiona kingine ni kuwa nimepigwa penalty kutokana na kuchelewa kuanza kurejesha.
My take dawa ya deni ni kulipa ila kwa mtindo huu tunaumizana sana ukizingatia taarifa tulitoa mapema kwa waajiri wetu tuanze kukatwa lakini halo ndiyo hiyo.
Rai yangu nawasihi kama unafahamu ulikopeshwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu fuatilia mapema uanze kulipa deni na hii ni kwa wale ambao wapo kwenye ajira na hawakatwi marejesho hayo huko mbele wakikunasa utaimba na additional charges.