Ndiyo wanaweka muda huu
Hawa jamaa na TCU wao wanakera, walijifanya kuengua baadhi ya watu nikajua kutakuwa na la maana kumbe ni ushubwada tu.Kwel mkuuu heslb wangetoa allocation bhana muda ushaenda n bora mtu ukajua asilimia zako ila uku wazaz wakajua wanajipangaje mapema coz sio wote wataopata mia
Ndiyo wanaweka muda huu
Mimi hata avatars, id, maoni yangu, nyuzi zangu, kila kitu, ni cha uongo, kitu cha msingi tumia akili yako kujua kama huu ni ukweli au uongo, nakupa mfano mmoja " ukirudia kuniita mimi ni muongo nitakuchapa kibao hicho mpaka uache kutukana" sasa hapo ni uongo au ukweliKumbe jamaa muongo.
Utaniumiza kichwaMimi hata avatars, id, maoni yangu, nyuzi zangu, kila kitu, ni cha uongo, kitu cha msingi tumia akili yako kujua kama huu ni ukweli au uongo, nakupa mfano mmoja " ukirudia kuniita mimi ni muongo tutakuchapa kibao hicho mpaka uache kutukana" sasa hapo ni uongo au ukweli
Ukipona hicho kichwa utakuwa unawaogopa @wakwepa kodi woteUtaniumiza kichwa
Hahahahaha umeamini nini?, maana hukawii kuamini hahahahahaDunia hii au Mars?
Akili za maitiWewe Umepata Mkopo Unalalamika Unakwamishwa Na Waliokosa Je?Wasemaje Wanaujumiwa?
Kwanza Kama Vipi Natoa Masaa 3 Pekee Kwa Bodi Ya Mikopo Itengue Majina Yote Ya Wanufaika Wa Mikopo Awamu Ya Kwanza Na Yapitiwe Upya Kunamijitu Mule Mama Zao Maafisa Elimu Na Baba Zao Miwaziri Alafu Imepewa Na Watoto Wa Mamantilie Wamekosa Aiwezekani Wakichelewa Kutengua Mimi Ntachana Makalatasi Ya Majina Yote
. Hahhhh bahati ya mwezio usilalie mlango waziAkili za maiti
nshachana Majina Adi Page Ya 291 Nayavizia Yaliyobaki Nlale Nayo Mbele Bora Tukose WoteAkili za maiti