wakuu naomba msaada wenu kwenye hili!!je kuna mdau yeyote ambaye ana forms za mikopo za 09/10..nimekua nataabika kwa muda sasa kujaribu kudownload from their site ila imeshindikana and it's too slow!!please help i'm in need!!thanx!!
ebwana kwa freshers (form six livers) wanajaza slf2 au slf3? alafu mbona fupi ivo izo fomu au ndo zilivo? manake nakumbuka za kwanza zilikua ndefu mpaka kero.