mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Miaka yote hutoa kwa awamu kwa kuwa watu hupata selection kwa awamu. Ila cha msingi watoe kabla ya vyuo kufungua.inatakiwa watoe kwa wanafunzi wote, sio kwa awamu
Hiyo ndo sababu ya kupunguza watu kwenye orodha ya mkopo boiMwaka jana muda kama huu sisi tulkua tushareport vyuoni, mwaka huu tarehe zimesogezwa adi mwisho wa mwezi, so naona labda wamefanya ivyo ili heskb wapate muda wa kukamilisha kila kitu isijirudie ya mwaka jana, nadhani hadi kabla ya tarehe 30 watakua wameshaachia, ila hofu ipo tu kuhusu majina ya ambao hawakuweka vyeti ambavyo havikuhakikiwa
Ila waliahidi kutoa so tuendelee kusubiriHiyo ndo sababu ya kupunguza watu kwenye orodha ya mkopo boi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kwanin serikali isi bet waweke man city,man u,Chelsea,Madrid,juventus,na barc win harafu waweke bilion 6 ,waone kama hawajapata hela ya mikopo tatizo loan board sio wabunifu,,,n maoni tu