mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,910
- 18,558
Inashangaza kuona kuwa heslb walikuwa walikuwa wameahidi kutoa wanufaika wa mikopo kuanzia tarehe 10/10/2017. Baadaye bosi wao akasema watatoa katikati ya mwezi 15/10/2017. Lakini mpaka leo wako kimya tu. Si watoe angalau awamu ya kwanza kwa wale waliopata vyuo, halafu baadaye watoe tena awamu nyingine.
Ni muhimu kutoa mapema ili kutoa nafasi kwa watakaokosa kuangalia plan B! Siyo unatoa leo wakati vyuo vilifunguliwa juzi! Vituko kama vya mwaka jana tusingependa vijirudie ambapo wanafunzi wengine walilazimika kufungasha mabegi kutoka vyuoni kurudi nyumbani!