HESLB 2016/2017 ni kitendawili.

HESLB 2016/2017 ni kitendawili.

Joined
Jun 21, 2016
Posts
19
Reaction score
39
It's my Hope Kuwa mpo poa wanajF.
Inafahamika wazi kuwa HESLB( BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU),Tarehe 24/June/2016 Walitoa TANGAZO
Kuwa tar 27 June,wataanza kupokea Maombi ya mikopo, Unfortenatly Mfumo Ulikuwa Unasumbua.
JE,NI TAYARI WAMESHAREKEBISHA AU BADO?
Aulizaye ataka Kujua.
Kwa anayefahamu anijuze.
 
Yap wamefungua tayari la msingi ingia kwa Web yao ya olas.heslb.go.tz. KARIBU
 
It's my Hope Kuwa mpo poa wanajF.
Inafahamika wazi kuwa HESLB( BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU),Tarehe 24/June/2016 Walitoa TANGAZO
Kuwa tar 27 June,wataanza kupokea Maombi ya mikopo, Unfortenatly Mfumo Ulikuwa Unasumbua.
JE,NI TAYARI WAMESHAREKEBISHA AU BADO?
Aulizaye ataka Kujua.
Kwa anayefahamu anijuze.
maombi mbona tayari watu washaanza kutuma toka hiyo tarehe 27 application ilianza na saiv watu wanendlea kuapply kupitia huo mfumo wao wa olams
 
Back
Top Bottom