Heshimu ndoa yako

KarugendoTz

Member
Joined
Mar 7, 2025
Posts
34
Reaction score
58
Mwanamke & mwanaume. Heshimu ndoa yako wewe ambae uko kwenye ndo mda unapofika wakulala weka simu yako mezani na umkumbatie mwenzako sio yeye apate baridi eti wewe uko mtandaoni labuda kama kunavitu nyote mnaviangalia huko lakini eti mwenzako kasinzia et wewe uko mtandaoni sio vyema heshimu ndoa yako ewe mwanamke na mwanaume.
 
Wanawake wanafikia hatua wana kera sanaa unaliona kama dude tu.
 
NAONA ROHO WA MUNGU ANAONGEA NA MTU HAPA KUPITIA JF
 
Joto bwana, kwanza yeye anajifunika shuka wakati mi siwezi
Nimezoea mikeka, siku nyingine naanzisha ugomvi ili tununiane nikalale kwenye kapeti sebuleni
 
Ndo raha ya kua na mtu mna chemistry wote akiwa mtandaon ww upo sio tunakua kama kiongozi na muumin wtf is this🙌🏾😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…