Heshima ya Rais Banda

Dah leo hii picha imekula airtime sana hapa jamvini...mbona ya zamani sana???
 
Hizi ndizo heshima za wanawake wa kinyasa kwa watu wanaheshimu kama vile heshima kwa mwanamke wa kisukuma kupiga magoti
 
Hivo ndo inapaswa iwe, sio mwanamke kwa vile ana madaraka, ndo kila kitu juu!
 
Bora tu sikuzaliwa kwenye mila hizo maana nisingeweza...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…