Mkuu kila jambo linaenda kwa HATUA...miaka 20 iliyopita ELIMU YA MSINGI ILIKUWA NI LAZIMA ULIPIE...ikaja ikawa bure ikabaki sekondari leo hii SECONDARI NAYO NI BURE...kesho itakuja form five na six BURE, KESHO KUTWA chuo itakuwa ni bure pia...SO ACHENI KULALAMIKA ILI MRADI MMELALAMIKA......ama kweli tumeamua kusonga mbele kimaendeleo,basi Elimu iwe bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu,serikali iwekeze nguvu zake zote kwenye Elimu kuliko chochote,na pia iunde kitengo cha kijasusi kwa ajili ya kuiba teknolojia mbalimbali kutoka mataifa yaliyoendelea.
Naomba tujadili kwa hekima,tutoe ushabiki wa vyama tuzungumzie uhalisia.
Inasikitisha sana Rais wa nchi kupokea ndege ambayo imetengenezwa nchi nyingine ,kiprotokoli ilitakiwa ndege ipokelewe na mkuu wa mkoa au waziri husika,rais ni mtu mkubwa mno,chini yake kuna makamu wa rais,kuna waziri mkuu,kuna mawaziri kibao tu,rais ni mfalme.
Tumeonekana taifa la ma primitives,a none vision nation,taifa lisilo na maono mazito ya maendeleo baadae.
Bado hadi leo tunashangaa ndege? Ndege ni basi tu,ni barabara yake ni angani,ndege ni basi la angani,hakukuwa na sababu ya rais wetu kujichora kwenda kupokea ndege utadhani tunasindikiza wanaanga wanaoenda sayari ya mars kwa teknolojia yetu wenyewe.
Kitendo ch Rais kupokea ndege na kuizindua ina maana hatuna mkakati wowote wa kuja kutengeneza ndege zetu wenyewe.
Hatuwezi kufurahia kununua ndege badala ya kutengeneza ndege zetu wenyewe,kwa hiyo hakuna heshima ya kununua ndege,heshima ni kutengeneza zetu wenyewe.
Kama kweli tumeamua kusonga mbele kimaendeleo,basi Elimu iwe bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu,serikali iwekeze nguvu zake zote kwenye Elimu kuliko chochote,na pia iunde kitengo cha kijasusi kwa ajili ya kuiba teknolojia mbalimbali kutoka mataifa yaliyoendelea.
Vinginevyo tutaendelea kununua pamba za masikio na sindano kutoka china hadi mwisho wa dunia.
Miaka zaidi ya 50 ya kujitawala kwetu tumeshindwa hata kutengeneza pikipiki zetu wenyewe?
Yaani sisi ni dampo la kutupia kila kitu kutoka mataifa ya viwanda.
Bila mkakati wa Elimu bora na wizi wa teknolojia kama walivyofanya China na India,tutabakia hivi hivi tukila ugali na mbilimbi huku bado tukiendelea kushangaa ndege.
Kuna viwanda bila Umeme nafuu..
Bidhaa itakayozalishwa kwa gharama kubwaa mtauza wapi?
Wewe unafikiri kwa nini Sukari ya Brazil au Pakistani ni rahisi kuliko ya Mtibwa au TPC
Mafuta kupikia ya Kenya ni rahisi kuliko Alizeti ya Singida?
Mafuta ya Kenya kusafiri kote mpaka Tz halafu yauzwe sawa?
Viwanda ni Bla bla bla tu
Kodi nyiingi na umeme ghali...kuna Kiwanda gani?
Wewe umefanya nini zaidi ya blah blah?
Jamaa mshamba tu. Hana hata kijiwe cha makochi anaongelea ndegeOnyesha njia kwanza,tuone, anza na kiwanda cha sindano tu. Hapo ndipo, utaweza kuzungumzia kiwanda cha ndege na kusika vema. Wengi tumejaliwa ufundi wa meno lakini wa vitendo wanahesabika.
Hiyo kodi shs ngapi?Nafanya kazi na Nalipa Kodi
Viongozi ndio wanakula Kodi zetu,,,Lazima tuhoji
Viongozi wanalipwa kwa kodi zetu waache bla bla
Eboooo...Hujui wajibu wako?
Nalipa Kodi ya PAYE Na VAT weewe....
Hujitambui eee
Hiyo kodi shs ngapi?
Hiyo bure ni siasa za kutafutia kura,unawezaje kufanya bure huku shule zikibaki na matatizo lundo? Kuna shule nyingi ambazo hazina vyoo vyakueleweka,hamna maji,hamna umeme,hamna sakafu,hakuna vifaa vya michezo,hamna maktaba,hamna maabara,hamna viwanja nkMkuu kila jambo linaenda kwa HATUA...miaka 20 iliyopita ELIMU YA MSINGI ILIKUWA NI LAZIMA ULIPIE...ikaja ikawa bure ikabaki sekondari leo hii SECONDARI NAYO NI BURE...kesho itakuja form five na six BURE, KESHO KUTWA chuo itakuwa ni bure pia...SO ACHENI KULALAMIKA ILI MRADI MMELALAMIKA......