Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,471
- 829,874
Ukimtumia mpenzi wangu meseji nadhani alikupa namba yake ili umtumie. Ukimpigia nadhani alikupigia kwanza. Ukichill naye nadhani alikuambia utampata wapi. Ninamlaumu mpenzi wangu kwa mazungumzo na uangalifu wowote anaotoa.
Sitamdharau mwanamke yeyote kwa sababu hana deni lolote kwangu. Ni kazi ya mpenzi wangu kuniheshimu. Mwanaume wa kweli hataniweka kwenye nafasi ya kunifanya nionekane mjinga.

Ukimpenda kwa dhati utamheshimu na kumlinda..!
Sent using Jamii Forums mobile app

mwambie mdogo wako anipende 
Isije ikawa helkopter ishapaa tayari maana sijaelewa chochote apa 