Heshima kwako waziri wa mambo ya ndani

Heshima kwako waziri wa mambo ya ndani

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
“Yeye afanye tu. Kama kuna watakaoumia, ataomba radhi, watamsamehe. Wewe ulijua mbwa wa polisi anaweza kwenda kulinda kwa mtu?” Augustine Mrema.
 
Tangu
“Yeye afanye tu. Kama kuna watakaoumia, ataomba radhi, watamsamehe. Wewe ulijua mbwa wa polisi anaweza kwenda kulinda kwa mtu?” Augustine Mrema.
Tangu lini sniffer dog akaenda kulinda, huo ni uropokaji tu yule mbwa popote aendapo lazima awe na handler wake ambae ni askari tena kwa kazi aliyofunzwa tu ambayo ni utambuzi sasa alienda kunusa pilau au.
 
Ila suala la huyo mbwa kutoonekana ni issue kubwa. What if anatumika na wauza madawa ya kulevya au pembe za ndovu? Unaweza kuuliza watamtumiaje? Ni rahisi, kwa kuwa amefunzwa kunusa madawa na pembe, maana yake ni kuwa wahalifu hao watakuwa wanamtumia mbwa kwa ajili ya ku test "package" zao za madawa/pembe kama zinaweza kugunduliwa na mbwa ama la kabla ya kuzisafirisha. Mawazo yangu tu.
 
Back
Top Bottom