Heshima kwako Rais Magufuli

Heshima kwako Rais Magufuli

kid ink tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
307
Reaction score
320
3e3b72794a07d26f275cd31d87196db8.jpg
 
Hivi katika ile sheria kandamiza vyombo vya habari na mitandao ya kijamii walisahau kuweka kuwa "ni kosa la jinai kuchora katuni ya mtu akiwa na kichwa kinyume na kichwa chake"?
Ha, ha, haaaaaaaa akiwa na kichwa chake KINYUME na kichwa chake au sio?
 
Ha, ha, haaaaaaaa akiwa na kichwa chake KINYUME na kichwa chake au sio?
Unajua kile kichwa ni kinyume kabisa na kichwa chake, na hapa nawaza pengine ndo kilichomfanya yule mama kuna zika hapa nchini na kisha kutunguliwa mara moja baada tu ya ripoti yake kutolewa.
 
Unajua kile kichwa ni kinyume kabisa na kichwa chake, na hapa nawaza pengine ndo kilichomfanya yule mama kuna zika hapa nchini na kisha kutunguliwa mara moja baada tu ya ripoti yake kutolewa.
Anko akahisi reference ya zika kafanyiwa yeye au sio?
 
Hahahah me amenichekesha yule mtunza bustan alivosema eti anaendesha nchi kinyume na maumbile!!! Hahah japo wameweka tafsida ila bado sentensi ni tamu balaa!!!!!
 
Kasema anataka mpaka asikie Tsh. 500/- inaitwa mia tano na sio jero, hali kadhalika kwa Tsh. 1000/- anataka asikie ikitamkwa Elfu moja na sio buku[emoji23]
 
Back
Top Bottom