Heshima Itawale

Hahaa so tuanzishe mashambulizi kwa wanao tukana sio?!
 
c bure itakua ulipost kitu wadau wakakushambulia.
 
Heshima haiombwi. Inakuja yenyewe kutegemea post zako. Hata watu wenye tabia za matusi hawalazimishwi kuacha wanaacha wenyewe wakiona hawaendani na mazingira husika. Hata wakitukana wakiona muitikio tofauti huwa hawarudii tena. Giza haliwezi kuondolewa kwa giza huondolewa kwa nuru, ukame hauondolewi kwa kwa jua kali huondolewa kwa kulowanisha kwa maji au mvua. Wakikukosea adabu wape heshima.
 
Ila nahs kwenye kila jamii kuna kila dizain ya watu. Yan kuna ambao wana hekma by nature ila wengne wana midomo kama mashimo ya vyoo, hata uandke kpi watakupnga tu tena na matusi ya fedheha.. Ndo maana wakawekaga ile report abuse, kwa ajil yao.
 
Na wewe umesahau kusema kuwa umekopi na upesti!
Oyaaaa tulia umeshaambiwa heshima itawale.
Note: nimecopy name kupaste
 

Attachments

  • 1395078577849.jpg
    26 KB · Views: 92
kama UNAELEWA kila mtu kalelewa mazingira tofauti inabidi pia NAWE umchukulie mtu kama alivyo..kisa cha kujitafutia strec mdakio nini?:A S-frusty2::A S-frusty2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…