NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,281
- 24,064
Kibwana Shomary nilimuona tangia mechi ya kwanza ya darby msimu huu,hakika uyu ni beki haswa.
Kwani kuwa mtanzania ni sifa?basi nisifieni na mimi.....Tusilazimishane....
Kuchezea watu rafu ndio kucheza Vizuri?
Tumsifie kwa kuwa tu ni mtanzania?