Huyu bwana mdogo apewe tu heshima yake tuache kusifia wachezaji wa kigeni.
Dogo mpira anaupiga jana kaweza kupambana na Morrison akahama namba akaja Sacko nae kabadili namba kaja Chama naye kakimbia heshima kwake.
Unachoshindwa kuelewa nini nimesema huyu dogo heshima apewe kama mtanzania Kwa kazi aliyoifanya.
Ukizungumzia ushabiki bro Mimi ni Simba.
Heshima apewe kama mchezaji wa kitanzania aliyeonesha uwezo kwenye dabi
Huyu bwana mdogo apewe tu heshima yake tuache kusifia wachezaji wa kigeni.
Dogo mpira anaupiga jana kaweza kupambana na Morrison akahama namba akaja Sacko nae kabadili namba kaja Chama naye kakimbia heshima kwake.View attachment 2206972