Mi ngoja nikafiche ka buku kangu kwenye bucta ya ndani, nikileta maonyesho jamaa hawachelewi kukalamba, na huo ndo utakuwa mwanzo wa majanga jioni ya leo hapo kwa shem wenu.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
haina shida hata kama utazichukua kesho yake uondoke nazo kabisa sitakuwa na tatizo....cha muhimu tu mi ni-sign na kama hutoondoka it will be a greaty favour na ntaitunza but not to an extent of kiling myself for it!