JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
- Thread starter
-
- #161
haya,kwa logic yako....MAARIFA YA JAMII na CIVICS zitambeba lemma,,teh teh teh
Nyie lazima tuwaseme mpate kujirekebisha. Makabila mengine wanaoa binti zenu na hawawabagui ila nyinyi hamtaki vijana wenu waoe kabila nyingine.Vipi jaffar Michael ni mchaga?
Utasubiri sana lowasa ampigie chapuo huyo monaban,lowasa au mwingine
Una uelewa wa statistics? Kama ndiyo, ukirudia kusoma bandiko lako utajicheka mwenyewe.
Kwani kura zinapigwa na madiwani?
Kwani kura zinapigwa na madiwani?
kweli ww mgumu kuelewa ?? ana maana walio wachagua madiwani ndio wapiga kura wa mbunge.
Hizi ni mada za kitoto wanaoishi na wanao ifahamu Arusha wanajua kwamba huyo Muarusha atashindwa vibaya. Haya mengine ni kujifurahisha!
Nilimaanisha statistics kama taaluma siyo 'data' kama ulivyojieleza hapo.Ndio maana nikaandika na kutoa comment yangu. Vinginevyo huwa si ingii JF kujaza posts. Statistics unazoziongelea wewe ni zipi ambazo unani uliza kama nazijua?
MiCCm mtambueni Ar.sio Mtwara. Mnaweza sababisha kitu ambacho hamtaamini macho yenu na kikasambaa nchi nzima.Msijaribu kuiba. Acheni kabisa. Mtawasha kiberiti.