Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Mnajidanganya,labda mfanye Jecha formula au mlivomfanyia lowasa.kata zote chadema sasa unategemea nn hapo?mtaona.

Mbona unaamini maneno ya mtaani? Kwa kuangalia idadi ya wabunge wa CCM, utagundua kuwa ushindi wa Pombe ni halali kabisa.
Madiwani wa cdm Arusha walisafiria nyota ya lowasa, ambayo sasa imeshazima tayari.
 
Lema kachokwa kwa vurugu subiri uchaguzi utaniambia
 
Endeleeni kuimba njonjera Mbunge ni Lema Madiwani 24 wote ni chadema wakati kata moja tu ndio ya ccm.

Ila sijaelewa sababu ya madiwani wa arusha (CHADEMA) kutoelewana na mgombea ubunge wa chama chao sababu kubwa ni nini?
 
Sawa sawa, Arusha mjini, CCM imepata madiwani 24, Hongereni CCM jimbo mtalichukua saa mbili asubuhi! Anzeni kufanya karamu!
 
Lema kachokwa kwa vurugu subiri uchaguzi utaniambia
Pole,naona una comment huku unatetemeka mkuu,sikia mkuu,suala si nani anagombea,ila anagombea kwa chama gani!! Hivi munaijua arusha kweli nyie? Acha Lema,hata akisimama mnywa gongo flani,bora awe chadema basi ubunge anapata bila tabu,ni kama mgombea wa ccm chamwino,ana uhakika wa kushinda bila kampeni
 
Uchaguzi jimbo la Arusha,matokeo yalikuwa hivi pamoja na uchakachuaji:-UKAWA Madiwani=24 na CCM =1
 
sina kadi ya kupga kura arusha ila nitahakikisha napata nafasi ya usimamizi wa kituo ili nipige kura
 
Ahahahahhaah chuga yetu sis ama dar chugaaaa? Hapa mpaka mwisho wa tz ni chadema moja
 
Mbona unaamini maneno ya mtaani? Kwa kuangalia idadi ya wabunge wa CCM, utagundua kuwa ushindi wa Pombe ni halali kabisa.
Madiwani wa cdm Arusha walisafiria nyota ya lowasa, ambayo sasa imeshazima tayari.

Kumbe kuna kipindi kura za watu wa kaskazini zinakuwa tamu sana
 
Vurugu za Arusha zilikuwa zinasababishwa na mkuu wa mkoa ambaye sasa hivi amehama wala sio Lema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…