Herman Cain is Done!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Herman Cain is Done!!

Discussion in 'International Forum' started by VUVUZELA, Dec 2, 2011.

 1. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  For Herman Cain, the campaign all but over
  [​IMG]

  ATLANTA (AP) - Herman Cain is still campaigning for president. But by most measures, his White House bid is all but over.

  His standing in polls is cratering. Supporters are wavering if not fleeing. Fundraising is suffering.
  And, these days, the former pizza company executive is less a serious candidate than the butt of late-night comedy jokes after a string of accusations of sexually inappropriate behavior and, now, an allegation of a 13-yearlong extramarital affair.
  "His chance at winning the presidency are effectively zero," said Dave Welch, a Republican strategist who worked on both of John McCain's presidential bids.
  And Republican strategist Kellyanne Conway said: "It's the daily dose of the wince-and-cringe factor that leaves people wondering what could be coming next,"
  As it has since Ginger White stepped forward Monday, the allegation of an affair overshadowed Cain's campaign for another day Thursday, when he told the New Hampshire Union Leader that his wife, Gloria, did not know he was providing the 46-year-old Atlanta-area businesswoman with money for "month-to-month bills and expenses."
  And, Cain said, his wife also didn't know of what he called a friendship with White until she said publicly that she had a casual 13-year affair with Cain that ended about eight months ago.
  The candidate is expected back in his home state of Georgia after campaign stop in South Carolina Friday afternoon and will presumably talk with his wife then. His campaign wouldn't provide details.
  He has canceled a Friday night event at the Atlanta Athletic Club
  Yahoo.com
   
 2. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ngono kitu kibaya sana. Jamaa alikuwa anaongoza na tukategemea 2012 itakuwa Obama v/s Cain.
  Umekula mzigo wa kizungu huo na sasa unaku-haunt.
  Rudi mtaani ukauze pizza $9.99
   
 3. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,080
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya ____ , tabu sana
   
 4. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,602
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  Wewe unafikiri wazungu wangeiacha ngozi nyeusi tii tii tii, iwawekee usiku kwenye kinyang'anyiro?.. Usiniambie habari za obama, yule ni half white.
   
 5. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umesema ukweli
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  huwa sielewi kwa nini wanawake huona fahari to go before a mic and expose their past romantic affairs with men- anyone who knows, please let me know!
   
 7. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli wenzetu wako serious, hii kwetu sio issue kabisa. Mtu ana nyumba ndogo za kutosha lakini kashinda! Mtu ana mke wa mtu lakini watu wamekomaa tu kumpigia debe.
   
 8. R

  Renegade JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Na hilo ni Tatizo kubwa saaaaaaaaaaana kwa Waafrika. Wanapenda kudumisha mila.
   
 9. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mambo ya nyumba ndogo hayooooo
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  stori za kupikwa na maconservative,wasingekubali mweusi asimame kwa republican......katika hao malaya hakuna hata mmoja mwenye ushahidi usio na mashaka zote ni "he said she said story" ndio maana wote wanasema hawana haja ya kuchukua hatua zaidi bali wanataka eti awaombe radhi tu basi,then aendelee na kampeni!lengo ni kumuharibia,wanatumiwa..
   
 11. K

  Keil JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa ni Rasmi kwamba Mzee Herman Cain ndo imetoka! Ngoja akajitetee kwa mkewe na kuweka mambo sawa kwenye familia yake.
   
 12. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  I like American politics. Nyumba ndogo imemfanya Cain Asitishe kampeni. Najiuliza hivi na sisi Tanzania tungekuwa wawazi hivi nani angegombea urais?, I hope very fewwould qualify. Kuwa na wanawake si issue sana kwa wamarekani kama hujaoa ila ni issue pale unapokuwa mwanandoa huku ukijivinjari na wanawake wengine. Cain is done!, sasa au face music wa domestic dispute na mkewe. Si ajabu baada ya miezi kadhaa ukasikia ndoa imevunjika. Ila jamaa noma yeye alikuwa ana target whites, Ginger white kamtoa kamasi za damu this time.
   
 13. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
 14. Ngadu

  Ngadu Senior Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole babu.ungewa afrika kusini ingekuwa dili, ingekuwa kudumisha mila na utamaduni.
   
 15. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 3,173
  Trophy Points: 280
  He was stupid enough bila kujua wazungu wanamtumia. Imekula kwake. Alipata fursa ya kuwatukana watu weusi akijigamba sasa leo alichobakiza ni hasira tuuuuuuu hata akiulizwa swali simple anahamaki utafikiri anataka kupiga mtu. Hahahahah utavuna ulichopanda!
   
 16. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huyu mwanamke atakuwa na matatizo sana,pia hana maadili.Imagine 3 times divorced halafu jamaa kibao pembeni wa kulipa bills.Ameongea mengi sana na ukifuatilia kwa makini utaona kuna mengine ni ya uongo wa wazi kabisa ama ni stori za kupika.
  Ginger White on Herman Cain's Exit, His Arrogance
   
 17. kmdh

  kmdh JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 505
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe unamfananisha Cain na Obama. Obama ndiyo kidampa cha wazungu. Na aliyewatukana weusi ni Obama akiwaambia wavue malapa waende kufanya kazi.
   
 18. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Baada ya kuexpose hivyo hujui kwamba mtu anajipatia umaarufu? Anatangazwa kwenye radio, tv, mitandao, blogs nk, kwa hiyo kila anakopitia anapata attention. Baadae anaweza hata kuandika kitabu na akauza.
   
 19. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Who cares?
   
 20. escober

  escober JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  No one
   
Loading...