Heri ya Sikukuu ya Pasaka - Ghati Chomete

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
292
Reaction score
221
Heri ya Sikukuu ya Pasaka

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawatakia wananchi wa mkoa wa Mara na Watanzania wote kwa ujumla Pasaka njema iliyojaa upendo, amani na matumaini mapya.

Anawahimiza kuendeleza mshikamano, kusaidiana na kudumisha maadili mema pamoja na kutumia kipindi hiki kuimarisha imani na kujituma kwa maendeleo ya Taifa.

Mhe. Ghati Zephania Chomete.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…