W wiseman734 Senior Member Joined Apr 29, 2018 Posts 137 Reaction score 210 Jan 1, 2019 #1 Wakubwa naomba niwakumbushe kuwa, mshahara tuliochukua mwezi Dec 2018 ndio unatakiwa utufikishe 25 January 2019. Hapa kati kati hakuna mshahara mwingine bali kuna watoto kwenda shule, Ada, sare, pocket money! Heri ya mwaka mpya wapendwa!
Wakubwa naomba niwakumbushe kuwa, mshahara tuliochukua mwezi Dec 2018 ndio unatakiwa utufikishe 25 January 2019. Hapa kati kati hakuna mshahara mwingine bali kuna watoto kwenda shule, Ada, sare, pocket money! Heri ya mwaka mpya wapendwa!