Heri yA kRiSmAs na Mwaka mpya 2013.

Heri yA kRiSmAs na Mwaka mpya 2013.

PessA RP

New Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Ndg zangu wana Jf, tunaposherekea sikukuu za MWisho wa mwaka na kukaribisha mwaka mpya, nawaomba tuwe waangalifu sana, tunavyoamua kutenda na kuchukua hatua, hali ya watz siyo nzuri kabisa kwani baadhi yetu tuna uwezo walau wa kupata moja moto, moja baridi, KTK sikukuu hizi, lkn kuna watz wengi hata mlo mmoja tu ni shida, jiulize wanasherekea nini kama hata mlo mmoja tu ni tatizo? nini kifanyike kuhakikisha tunapunguza tofauti ya walionacho na wasionacho? Tafakari ili mwaka 2013 uwe wa kufanya mabadiliko ya ki mfumo, mabadiliko hayashuki toka mbinguni yanaanza hatua kwa hatua kuunganisha nguvu pamoja na kukemea uonevu, unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa dhidi ya watz wote wasio na kipato na wasio na elimu. Niwaache na kauli mbiu ya Vodacom [ kAZI NI kWENU]HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA 2013.
 
Back
Top Bottom