Heri Sasii umefaulu Sana kutunza Muda wa mchezo.

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,498
37,792
Mechi Kati ya Simba na Namungo imemalizika Kwa Sare ya 1-1.

Kwangu kilichonifurahisha ni jinsi Mwamuzi wa Kati na Mwamuzi wa 4 walivyojitahidi kutunza Muda wa mchezo.

Kumbe marefa mnaweza mkiamua. Namungo walijitahidi kupoza mchezo na kupoteza Muda lakini Sasii aling'amua ujanja wao.

Leo Muda uliopotezwa hauzidi dakika 5 na kweli zikaonhezwa 4. Waamuzi wengine mna la kujifunza Kwa Sasii kuhusu suala la time management.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom