Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 724
- 241
Nafahamu sasa kuwa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kimataifa na Kikanda iliyokuwa na jina refu bila sababu sasa imerejeshewa jina lake kuwa "Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki."
Pia sasa tuna "Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia" badala ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
Aligundua mapema kurekebisha Wizara ya Habari na kuwa "Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo" kwa kuweka Sanaa badala ya Usanii kama alivyoita awali.
Sasa napendekeza wizara ya Ummy na Kigwangallah iitwe "Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Jinsia" badala ya jina refu sana la sasa ambapo kimsingi Jinsia inabeba Wanawake, Wazee na Watoto.