"Heri Kutoa Kuliko Kupokea"........MziziMkavu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Ama Kweli

Nimependa sana hii ya MziziMkavu...............Yeye Hutoa Like Kwa Karibu Kila Thread...................(hata hii atatoa)
 
Ama Kweli

Nimependa sana hii ya MziziMkavu...............Yeye Hutoa Like Kwa Karibu Kila Thread...................(hata hii atatoa)
@Amavubi Kwani neno (like) linauzwa humu Jamvini J.F.? mimi nikipendekezwa na maneno yako natowa (like) wasiotowa hao ni wabaya na wanafikiri (like) ukipewa labda Moderator atakupa pesa hahahahah.
 
Back
Top Bottom