Heri abakie humo

Kitendawili!Kunusuru maisha yake, kwanza avue hiyo tai !! pili ateremshe nusu dirisha kiasa cha kujiokoa na hatimaye awemo ndani hadi atakapoona fursa ya kuchopa/kusepa! Amavubi prado mkorinto
 
Analeta ubishoo huyo wangemuacha tu... hapo akifungua kioo anatoka kiulaini ila kaamua kua bishoo
 
Abaki humo aone kwa nini samaki huwa anatoroka nyavu akiwa kwenye maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…