Gutapaka
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 283
- 218
Mtoa Uzi pamoja na njama ulizo zungumza kuhusu WNO dhidi ya Trump na chepuo zao kwa Biden. Mimi nikukumbushe tu kuwa Tanzania Ni moja ya mataifa yanayoipinga chanjo hii japokuwa kwenye taarifa yako umesema Hakuna mamlaka zilizopinga wazi.
Zaidi sio Urusi na China tu Bali hata Tanzania tunajikita katika chanjo zisizo shambulia DNA za binadamu japokuwa Kama yupo mtanzania ambaye anataka chanzo ya ulaya kwa ulazima wake anaruhusiwa kuigharamia.
Mwisho, nakumbuka nilicomment kwenye Uzi Kama huu kuwa ukiona DR. Magufuli anapinga chanjo yao ujue Kuna sababu nzuri Hapa. Nikasema Dr. Ni profesa baridi nikaishia zangu.